Harusi ya Sandra Ikeji yavunja rekodi Duniani

0
362

Harusi ya Sandra Ikeji kutoka Nigeria imevunja Record ya Guiness Duniani kwa kuwa na wasimamizi wa kike (bridesmaids) 200.

Record Hii Ilikuwa Inashikiliwa Na Couple Kutoka Sri Lanka Nisansala na Nalin Ambao walifunga ndoa mwaka 2018 wakiwa na wasimamizi wa kike (bridesmaids) 126.

Sandra Ikeji ni muandaaji wa tukio/sherehe (event planner)maarufu Nigeria.