Michezo Manara na zigo la lawama kwa Wachezaji By Hamis Hollela - January 5, 2020 0 457 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baada ya Sare ya magoli 2 kwa 2 dhidi ya Yanga , Msemaji wa Wekundu wa Msimbazi Simba Hajji Manara ameandika na kushushia zigo la lawama kwa wachezaji wa Simba Ukurasa wa Haji Manara Manara ametupia lawama zake hizo kwa wachezaji kupitia ukurasa wake wa Instagram