Hongera Jenerali David Musuguri

0
194

“Mpaka nimefikia umri huu wa miaka 100, ni kwasababu nilitunzwa na wazazi wangu pamoja na watanzania, nilizaliwa tarehe 04 saa moja asubuhi mwaka 1920 , Takribani miaka 10 Afya yangu ni mbovu sana mwili wangu wote unauma na pia ni miaka 40 sasa tangu niugue ugonjwa wa kisukari”

Mkuu wa JWTZ Mstaafu Jenerali David Musuguri