Mane, Salah waendelea kuwasha moto England

0
447

Majogoo ya Jiji Liverpool wameendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa bila dhidi ya Sheffield United

Mabao ya Liverpool yakifungwa na mshambuliaji hatari wa Mohamed Salah dakika ya nne tu wakati bao la pili likifungwa na Sadio Mane dakika ya 64

2 vs 0

Liverpool sasa inafikisha alama 58 na kufanya tofauti ya alama 13 dhidi ya mpinzani wake anaefuatia katika nafasi ya pili klabu ya Leicester City