Mziba abeba mikoba ya Dismas Ten

0
432

Klabu ya Yanga imemteua mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Abeid Mziba kuwa Kaimu Meneja wa timu, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Dismas Ten