Arsenal waitungua Manchester United 2-0

0
436

Washika bunduki wa London wameitandika Manchester United mabao mawili kwa nunge katika mchezo wa ligi kuu England

Magoli ya Arsenal yakifungwa mapema kabisa na Pepe dakika ya 8 na Sokratis dakika ya 42