Nyota wa Pop kutoka nchini Canada ametangaza kuachia wimbo mpya, uitwao Yummy, mnamo 3 Januari 2020 – ambao utakuwa ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu yake inayokuja, ambayo bado haijapewa jina
Justin ana umri wa miaka 25 sasa ametangaza kuwa atafanya tamasha Marekani na taifa lake la nyumbani kati ya Mei na Septemba.
Mwimbaji huyu ametangaza kuwa ataonekana katika Makala mpya kwenye Runinga.