Liverpool haikamatiki

0
471

Liverpool imeendeleza Ubabe Ligi Kuu England baada ya Kuitandika timu inayoifuatia kwa karibu kwenye msimamo Leicester City ikiwa nafasi ya pili Mabao 4 kwa bila katika dimba la King Power

Roberto Firmino

Magoli ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika 31, bao la pili likifungwa na Milner kwa mkwaju wa Penalt huku Firmino akirudi tena wavuni kufunga bao la tatu na bao la nne likifungwa na Alexander Anord ndani ya dakika 78 akipokea pasi safi kutoka kwa Sadio Mane

Msimamo wa EPL

Liverpool inaendelea kushika usukani wa msimamo wa Ligi kwa kuwa na alama 52 huku Leicester ikibaki na alama 39, Manchester city yenye alama 38 itashuka dimbani dhidi ya Wolverhampton