Tanesko hewa adakwa Arusha

0
193

Shirika la Umeme Nchini TANESCO Mkoa wa ARUSHA limemkamata Mtu MMOJA
anayedaiwa kuunganisha umeme wa wizi kwa Watu zaidi ya 40 na kuwatoza shilingi ELFU TANO kila mwezi.

Meneja wa TANESCO Mkoa wa ARUSHA Mhandisi HERIN MHINA amesema Watu hao wamekamatwa katika operesheni ya kuwabaini wezi wa umeme iliyofanyika katika Mtaa wa MBESHERE kata ya OLORIENI jijini Arusha.