Burudani Mrembo wa Dunia apatikana By Hamis Hollela - December 14, 2019 0 1263 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mshindi wa mashidano ya urembo ya Miss World 2019 ni Toni-Ann Singh kutoka JAMAICA ?? na nafasi ya “1st Runner up” kashinda mrembo kutoka Ufaransa ?? wakati nafasi ya “2nd Runner up” kashinda mrembo kutoka India ?? missworld2019