Tanzania yapokea Ndege Mpya, kuboresha huduma za Usafirishaji

0
275

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo Jumamosi ya Desemba 14, 2019 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya iliyokuwa inashikiliwa nchini Canada aina ya Bombadier Dash 8 – 8400 katika Uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kuachiwa

Viongozi mbalimbali waliohudhuria mapokezi ya ndege mpya

Ndege hiyo inakuwa ndege ya 8 kuagizwa na Serikali ili kuja kufanya kazi za usafirishaji nchini Tanzania chini ya Shirika la Ndege la ATCL