
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha kwa kushirikiana na Wawakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na SADC pamoja na EAC wamekabiidhi zawadi kwa washindi wa kitaifa wa mwaka 2019 wa shindano la uandishi wa insha za SADC na EAC.
Hafla hiyo imefanyika hii leo Jijini Dodoma.
