Chuo Kikuu Ardhi cha watunuku wahitimu wake

0
443
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Profesa Evaristo Liwa akimkabidhi mmoja wa wanafunzi cheti cha kumtambua kwa kufanya vizuri kwenye masomo yake wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Taaluma, Profesa Gabriel Kassenga, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Carolyne Nombo (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Shahada za uzamivu na Machapisho- Dkt. Yasin Senkondo.
SEHEMU ya wanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi (ARU), wakifuatilia matukio wakati wa hafla ya kuzawadiwa baada ya kufanya vizuri katika masomo yao.







Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Profesa Evaristo Liwa akimkabidhi mwanafunzi bora wa Mwaka katika masomo yote Hellen Shita wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye masomo yao.  Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Taaluma, Profesa Gabriel Kassenga na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Carolyne.