Serikali ya Iran imetaka hatua za kisheria kuchukuliwa nchini Iraq, baada ya ubalozi wake mdogo kuchomwa moto na watu wenye hasira mjini Baghdad.
Taarifa iliyotolewa na Serikali na Iran imeeleza kuwa, haijafurahishwa na jambo hilo, na kwamba kama kuna tofauti zozote baina ya Mataifa hayo mawili yalitakiwa kufanyika mazungumzo ili kuondoa tofauti hizo.
Watu wenye hasira wamechoma moto ubalozi huo mdogo wa Iran nchini Iraq kwa madai kuwa wamechoshwa na tabia ya nchi hiyo kuingilia mambo ya ndani ya Iraq, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na matatizo mbalimbali hivi sasa.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.