Peter na Paul Okoye washerehekea siku yao ya kuzaliwa

0
1949

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Wanamuziki pacha kutoka nchini Nigeria, -Peter na Paul Okoye maarufu kama Psquare.

Hivi sasa Paul Okoye anatumia jina la I am
King Rudy na pacha wake anatumia jina la Peter Psquare baada ya kundi lao la muziki kusambaratika na kila mmoja kuamua kuimba peke yake.

Watoto wa Peter Okoye wamewatakia pacha hao heri ya siku yao ya kuzaliwa.