“Tangu Rais Magufuli aingie madarakani amewezesha ujenzi wa Lami mpya uliovunja rekodi ya miaka yote 50 ya uhuru, amejenga kilomita 807 mpya ndani ya miaka 4 wakati kwa miaka yote 50 tulijengewa kilomita 402”
TBConlineUpdates
Paul Makonda
Mkuu wa mkoa DSM.