Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa

0
1230

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeitandika Guinea ya Ikweta mabao mawili kwa moja katika mchezo wa kwanza kufuzu kwa michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON

Mabao ya Taifa Stars yamefungwa na Simon Msuva na Salum Abubakar Sure Boy wakati bao la Guinea likifungwa na Pedro Obiang