Tanzania kuondokana na fikra potofu

0
210

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. JOYCE NDALICHAKO amesema Tanzania ina dhamira ya dhati ya kuhakikisha inaondoa fikra potofu kuhusiana na masuala ya kijinsia.
Waziri Prof. NDALICHAKO ameyasema hayo jijni DSM alipomuwakilisha makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN katika ufunguzi wa Semina ya Kimataifa ya kuwajengea uwezo vijana wa kike wa GIRL GUIDES katika masuala ya Uongozi.