ACT Wazalendo yaungana na CHADEMA kususia uchaguzi

0
226

Chama Cha ACT Wazalendo kimetangaza kujitoa kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.
Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa Chama hicho Zitto Kabwe, kwa madai kuwa Wagombea wengi wa ACT Wazalendo wameenguliwa.


Chama hicho cha ACT Wazalendo kimetangaza uamuzi huo ikiwa ni siku moja tu baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza kutoshirki katika uchaguzi huo