Picha mbalimbali zikiwaonyesha baadhi ya wageni kwenye eneo la kiwanda cha kuzalisha Viuwadudu vya Mbu wanaosababisha Malaria cha TBPL kilichopo Kibaha mkoani Pwani, katika uzinduzi wa Siku ya Malaria kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamopja na uzinduzi wa Kampeni ya Zero Malaria inaanza na mimi.

0
177