Halmashauri zinazopata hati chafu kumulikwa

0
200

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mwita Waitara ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa, Serikali itaangalia upya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambazo zimekua zikipata hati chafu mara kwa mara.

https://www.youtube.com/watch?v=0pzzXs42ByI