Aveva, Kaburu waachiwa kwa Dhamana

0
1052

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana aliyekuwa Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange maarufu ‘Kaburu’. Baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutupilia mbali mapingamizi ya upande wa serikali waliopinga wasipewe dhamana.