Chelsea wakiwa ugenini wanaibuka na ushindi wa Mabao 2 kwa moja dhidi ya Watford katika mchezo wa Ligi kuu soka England na kusogea hadi nafasi ya 3 wakiwa na alama 23
Wakati huko Hispania La Liga Fc Barcelona wanakula mweleka wa mabao 3 kwa 1 dhidi ya Levante Barca wakianza kufunga kwa penalt iliyowekwa wavuni na mchezaji mahiri Lionel Messi lakini wakashindwa kulinda ushindi huo, hadi dakika 90 Barca wanaziacha alama 3 Ciutat de Valencia.