Bayern Munich yapigwa Mkono Bundesliga

0
943

Bayern Munich wanakula kipigo cha mabao 5 kwa moja dhidi ya Eintracht Frankfurt huku Mlinzi wa Munich, Jerome Boateng akilambwa kadi nyekundu dakika ya 9 ya mchezo huo “Waswahili wanasema kifo cha wengi sherehe”