Manchester United yaendelea kuchechemea

0
849

Jahazi la Mashetani Wekundu Manchester United limeendelea kuibuka na kuzama tena baharini baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya wenyeji wa mchezo huo AFC Bournemouth katika dimba la Vitality kwenye Mchezo wa Ligi Kuu England bao likifungwa na King dakika ya 45

Unaweza kuona Matokeo ya Michezo iliyomalizika na kujua Matokeo zaidi kupitia Mitandao ya TBCONLINE