Manchester United imeondoka na ushindi wa Mabao 3 kwa Moja dhidi ya Norwich city ugenini
Mabao ya Manchester United yakifungwa na McTominay, Rashford na Martial huku lile bao la wenyeji Norwich City likifungwa na mchezaji Hernandez
Kwa matokeo hayo Manchester united imesogea hadi nafasi ya 7 katika msimamo wa Ligi kuu England