ARSENAL walia na mfumo wa VAR

0
799

Katika Mchezo ambao Arsenal na mashabiki wake umewaumiza ni mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya Crystal Palace katika Dimba la Emirates

Arsenal walikuwa wakwanza kuliona lango la Crystal Palace mara mbili kutoka kwa Sokratis na Luiz lakini wakakubali magoli hayo kurudishwa na wachezaji mahiri Milivojevic na Ayew huku bao la 3 la Arsenal likikataliwa baada ya mwamuzi kutumia maamuzi ya msaada wa video maarufu kama VAR