Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amewakaribisha Watalii kutoka maeneo mbalimbali Duniani na kusema kuwa Tanzania ni salama na haina tatizo wala magonjwa yoyote kama inavyoelezwa na baadhi ya watu.
https://www.youtube.com/watch?v=WDyG4IJklOU&feature=youtu.be
Balozi Kijazi ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam, wakati akifungua Onesho la Kiswahili la Utalii la Kimataifa (SITE) kwa mwaka 2019.
