Vijana wa Halaiki katika maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu

0
179

Picha mbalimbali za Vijana wa Halaiki wakionesha maumbo tofauti tofauti, ikiwa ni pamoja na Bendera ya Taifa, Mjusi mkubwa ambaye asili yake ni mkoa wa Lindi, Ramani ya Tanzania na Ramani ya mkoa wa Lindi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kilele cha Wiki ya Vijana.