Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, -Ramadhani Kailima, akitoa mada kwenye kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini na Makamanda wa Polisi wa mikoa na vikosi mbalimbali, kinachofanyika jijini Dar es salaam.
Lengo la kikao hicho ni kuweka mikakati mbalimbali ya kiutendaji ndani ya Jeshi la Polisi nchini.