Kiwanda cha Maji cha Mkwawa chazinduliwa

0
3556

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Iringa, leo amezindua kiwanda cha maji cha Mkwawa cha Mjini Iringa na kuzungumza na Viongozi na Wafanyakazi wa kiwanda hicho, pamona na Wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.