Pole kwa Msiba

0
153

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo, alipokwenda nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam, kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu huyo wa Majeshi, Nelson Mabeyo aliyefariki hapo jana katika ajali ya ndege ndogo wilayani Serengeti mkoani Mara.