Michezo Matokeo Ligi Kuu England By Hamis Hollela - September 22, 2019 0 2077 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Chelsea imekubali kichapo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Majogoo ya Jiji Liverpool West Ham United waipiga Manchester United nyundo 2 kwa bila Arsenal wanaibuka na ushindi wa mabao 3 kwa 2 dhidi ya Aston Villa