Zaidi ya Wahamiaji 100 waokolewa Pwani ya Libya

0
907

Waokoaji katika Pwani ya Libya wamewaokoa Wahamiaji 109 waliokuwa katika hatari ya kufa maji baada ya chombo chao walichokuwa wakisafiria kwenda Barani Ulaya kutafuta maisha mazuri kuzama katika bahari ya Mediteranian.

Watu hao wameokolewa zikiwa zimepita siku chache tangu nchi ya Italia iliporidhia kuwapokea Wahamiaji 82 waliookolewa baharini baada ya chombo chao kuzama na nchi kadhaa zikakataa kuwapokea