Yanga yawasili Dar es salaam ikitokea kambini Mwanza

0
842

https://www.youtube.com/watch?v=F6PTa0l2Zyo&feature=youtu.be

Timu ya Yanga imewasili jijini Dar es salaam ikitokea jijini Mwanza ilipokuwa imeweka kambi tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Zesco United ya Zambia, mchezo utakaochezwa Keshokutwa Jumamosi kwenye dimba la Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa Kumi alasiri na kutangazwa moja kwa moja na TBC Taifa.